Muonekano wa Jengo la kuongozea Ndege katika uwanja wa Ndege wa Songea Mjini likiwa kwenye hatua ya mwisho za ukuamilishwaji
Meneja wa Uwanja wa Ndege Songea Jordan Mchami amesema Serikali imetoa Zaidi ya shilingi bilioni 37 kupanua na kakarabati uwanja huo
Alisema mpaka sasa mkandarasi yupo hatua za mwisho kukamilisha jengo hilo la kuongozea Ndege pia kukamilisha uwekaji wa Taa ambazo zitawezesha Ndege kutua usiku pamoja na kumalizia uwekaji wa Tanki la maji la ujazo wa milimita 2050
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.