Pichani kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile ambaye allimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas kwenye uzinduzi wa Kliniki ya kudhibiti na kutibu saratani kwa watu wenye ulemavu wa ngozi katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea (HOMSO)
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.