Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akipanda mti kwenye viunga vya hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea eneo la Mwengemshindo Manispaa ya Songea ambako ulifanyika uzinduzi wa upandaji miti ngazi ya Mkoa wa Ruvuma . Msimu huu Mkoa wa Ruvuma unatarajia kupanda miti zaidi ya milioni sitakatika Halmashauri zote nane lengo ni kundelea kuufanya Mkoa wa Ruvuma unakuwa wa kijani na kulinda mazingira kwa ustawi wa kizazii cha sasa na kijacho.
baadhi ya miche ya miti ya aina mbalimbali iliyopo katika bustani ya Matogoro ambayo inatarajiwa kupandwa msimu huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.