• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

VYEO vipya,wajibu mpya ,askari 155 wa Ruvuma wapandishwa vyeo

Imewekwa kuanzia tarehe: May 22nd, 2025

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya, kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura, amewapandisha vyeo askari 155 waliohitimu mafunzo ya upandishaji vyeo kwa mwaka 2024/2025.

Hafla hiyo ya kihistoria imeambatana na pongezi kwa askari hao waliofaulu kwa mafanikio na kuhitimisha mafunzo yao kwa ufanisi mkubwa.

Sherehe ya uvalishwaji wa vyeo hivyo imefanyika kwenye viwanja vya Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Mkoa wa Ruvuma, ambapo imehudhuriwa na maafisa waandamizi, wakaguzi pamoja na askari kutoka vitengo mbalimbali vya jeshi hilo.

Akizungumza kwenye hafla hiyo, Kamanda Chilya amewataka askari waliopandishwa vyeo kuhakikisha wanayathamini na kuyatendea haki madaraka mapya waliyopewa.

Ametoa wito kwao kuwahudumia wananchi kwa uadilifu, weledi na kwa kufuata misingi ya haki, kama alivyoelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchin

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RUVUMA yaandika historia,Bilioni 45.3 zilivyobadilisha muonekano katika sekta ya afya

    May 27, 2025
  • NDOTO za wasichana zilivyofufuliwa katika sekondari ya Dkt.Samia Namtumbo

    May 27, 2025
  • MADAKTARI bingwa kutoa huduma bobezi kwa gharama nafuu Ruvuma

    May 26, 2025
  • MADAKTARI Bingwa wa Samia waweka kambi ya siku sita Ruvuma

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.