Wakulima wa zao la ufuta katika kata ya Kizuka Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamesema kabla ya serikali kuanzisha kununua mazao kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani waliibiwa na kunyonywa na madalali.
Wamesema hayo baada ya ufunguzi wa mnada wa kwanza wa ufuta katika Halmashauri za Manispaa ya Songea na Songea vijijini uliofanyika katika Kata ya Kizuka ambapo wakulima wameridhia kununua kilo moja ya ufuta kwa bei ya shilingi 3715 kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani.
Katika mnada huo zaidi ya kilo tani 218 za ufuta zimeuzwa na wakulima
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.