• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAKULIMA Songea watakiwa kuvuna mahindi kwa mbinu bora

Imewekwa kuanzia tarehe: June 17th, 2025

Wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wametakiwa kuzingatia mbinu bora za uvunaji wa mahindi ili kupunguza upotevu wa mazao na kuhakikisha ubora wa mavuno unadumu hadi sokoni.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Ndugu Frank Sungau, alisema mahindi yanapaswa kuvunwa yakiwa yamekomaa vizuri na kukauka kwa kiwango kinachotakiwa.

Alifafanua dalili kuu za mahindi yaliyokomaa ni magunzi kuanza kuinama chini na majani ya mabua kunyauka.

Sungau alisisitiza umuhimu wa kuvuna mapema punde tu mahindi yanapokomaa, ili kuepuka hasara inayoweza kusababishwa na mvua za ghafla, wadudu, au wanyama waharibifu.

Alitahadharisha kwamba kuchelewa kuvuna kunawaweka wakulima hatarini kupoteza sehemu ya mavuno yao.

Aidha, aliwataka wakulima kutouza holela mahindi yao, bila kuzingatia mahitaji ya familia zao kwa mwaka mzima.

“Kila kaya inapaswa kuhesabu idadi ya wanachama wake, ihakikishe inabaki na akiba ya kutosha kwa chakula, kisha ziada ndiyo iuzwe,” alisisitiza Sungau.

Wakati huo huo, Sungau alibainisha kwamba Serikali inajiandaa kuanza rasmi ununuzi wa mahindi kwa msimu wa 2025/2026. Hatua hiyo inatarajiwa kutoa soko la uhakika kwa wakulima, kuimarisha kipato chao, na kuleta unafuu wa bei kwa jami

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAKUMBUSHO ya vita ya Majimaji kubadilishwa

    June 18, 2025
  • WAKULIMA Songea watakiwa kuvuna mahindi kwa mbinu bora

    June 17, 2025
  • RUVUMA walivyoadhimisha siku ya mtoto wa Afrika

    June 17, 2025
  • RUVUMA yaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kwa kishindo,serikali,jamii na wazazi waungana kumlinda mtoto

    June 16, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.