WANAFUNZI 746 wa shule za msingi na sekondari ndani ya siku 60 wametembelea bustani ya asili ya Wanyamapori Ruhila Iliyopo mjini Songea mkoani Ruvuma.
Afisa Utalii wa bustani hiyo iliyopo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) David Tesha amesema wanafunzi wengi wanatembelea bustani hiyo baada ya maafisa wa TAWA kutoa elimu endelevu ya uhifadhi na utalii katika shule mbalimbali mkoani Ruvuma.
Ruhila ni bustani pekee ya asili ya Wanyamapori iliyopo mjini Songea iliyoanzishwa mwaka 1974 ikiwa na Wanyamapori adimu kama simba,nyumbu,pundamilia na pofu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.