Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Abbas amewapongeza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la mpigakura ambapo watu 989,241 wamejitokeza kujiandikisha sawa na asilimia 92.35 .Kanali Abbas ametoa pongezi hizo wakati anazungumza kwenye uzinduzi wa minada ya zao la korosho uliofanyika kimkoa katika kijiji cha Nakapanya wilayani Tunduru.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nakapanya wilayani Tunduru
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.