Baadhi ya wananchi wakiwemo wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika tarafa ya Mpepo kijiji cha Tingi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambapo viongozi waandamizi wa CCM na mawaziri walizungumza na wananchi hao huku wakiwahamasisha kujitokeza kupiga kura Novemba 27 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.