Wanawake wa Mkoa wa Ruvuma wameungana na wanawake wengine Duniani katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, kimkoa sherehe hizo zimefanyika mjini Mbambabay Wilaya ya Nyasa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.