Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo amekagua kituo kikuu cha mabasi cha Mkoa wa Ruvuma ambacho komejengwa kata ya Tanga Manispaa ya Songea kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni sita.Jafo ameagiza kituo hicho kianze kutumika kikamilifu.TAZAMA habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=QKRpzM_rZBI
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.