Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) na Mbunge wa jimbo la Songea Vijijini Mheshimiwa Jenista Mhagama na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho wakati aliposhiriki katika misa ya sherehe ya Jubilei ya miaka 125 ya uinjilishaji wa kanisa katoliki Jimbo Kuu la Songea iliyofanyika Abasia ya Peramiho nje kidogo ya mji wa Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.