Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakimsikiliza Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Songea mjini Dkt. Damasi Ndumbaro amb aye alipokea kero kutoka kwa wananchi wa kata ya Mateka ikiwa ni kata ya 17 kati ya kata 21 ambazo amezitembelea na kukusanya kero zao na kuzifanyia ufumbuzi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.