Serikali ya Awamu ya Tano imetoa shilingi bilioni 129.3 kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito kutoka Mbinga hadi Mbambabay.Kilometa 40 kati ya 66 hadi sasa zimekamilika .Kukamilika kwa barabara hii kutafungua Mawasiliano ya ukanda wa ziwa Nyasa na nchi jirani za Msumbiji na Malawi pia barabara hiyo inaunganisha bandari ya Mbambabay ziwa Nyasa na bandari ya Mtwara bahari ya Hindi kupitia Mtwara corridor.
Tazama habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=jtjpbkd0pBY
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.