Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Chen Mingjian ametoa mbegu za soya tani saba kwa ajili ya wakulima wadogo wa Mkoa wa Ruvuma.
Balozi huyo amekabidhi mbegu hizo katika hafla fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Jackline Msongozi na kushuhudiwa na wawakilishi wa wakulima wadogo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.