Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole amefanya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Ruvuma .Hapa kushoto akikaribishwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika hoteli ya Hunt club mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.