Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Matomondo-Mlale katika Halmashauri ya Songea yenye urefu wa kilometa 22.
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuanzia imetoa shilingi bilioni nne kujenga barabara kutoka Matomondo pachani.
kwa kuanzia serikali imetoa shilingi bilioni mbili kujenga kilometa tatu za lami na kwamba barabara inatarajia kukamilika Desemba mwaka huu katika Awamu ya kwanza ya ujenzi katika kiwango cha lami..
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.