Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile,Katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Ndugu Mohamed Ally pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali walipotembelea bustani ya miche ya miti Hifadhi ya Matogoro Manispaa ya Songea ambapo Mkoa wa Ruvuma umedhamiria kupanda miti zaidi ya milioni sita msimu huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.