Maafisa wanachuo kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa Tanzania kilichopo jijini Dar es salaam wameanza ziara ya mafunzo ya siku tano mkoani Ruvuma kuanzia Januari 10 hadi 15 mwaka huu.
Mkuu wa chuo hicho Meja Jenerali Ibrahimu Michael akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesema katika ziara hiyo ameongozana na maafisa wanachuo kutoka nchi za Tanzania,Uganda,Zambia,Kenya na Burundi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.