SERIKALI imetoa shilingi bilioni 1.55 ili kurejesha sehemu yake daraja la Muhuwesi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma
Daraja hilo lilipata hitilafu kutokana mvua za masika kwenye mto Muhuwesi.
Kabla ya marekebisho hayo magari yalikuwa yanapita upande mmoja ambapo hivi sasa magari yanapita pande zote mbili.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.