Katikati pichani ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akikagua mradi wa mabweni katika sekondari ya Maposeni Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma
Serikali kupitia mradi wa BARICK imetoa shilingi milioni 362 kujenga mabweni mawili, vyumba vinne vya madarasa na vyoo matundu sita
Dkt Msonde ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Songea kupitia Mkurugenzi wake Neema Maghembe kwa kusimamia vema mradi huo ambapo ameagiza miradi yote ya BARICK nchini kukamilika kwa asilimia 100 ifikapo Desemba 15 mwaka huu.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.