Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ametoa rai kwa walimu mashuleni kuanzisha klabu za wapinga kurushwa ili kuhakikisha elimu endelevu ya kupiga vita rushwa inatolewa kwa wanafunzi.Alikuwa anazungumza kwa nyakati tofauti na wanafunzi wa Mbinga .TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=gqVZ3DaUTvw
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mbinga Girls ambao wameunda Klabu yao ya kupambana na rushwa .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.