Program ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu (FORVAC) kwa kushirikiana na serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekabidhiwa mashine ya kisasa inayotembea kwa ajili ya kuchakata mbao ili kuendeleza Usimamizi shirikishi wa misitu ya jamii Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Mratibu wa FORVAC Mkoa wa Ruvuma Petro Masolwa amemkabidhi mashine hiyo Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile katika hafla iliyofanyika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.