Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiteta jambo na Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalla Shaib Kaim kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru eneo la Mtama katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga ambako yalifanyika makabidhiano kati ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga na Halmashauri ya Mji wa Mbinga.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.