Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo akizungumza kabla ya kuzindua kampeni ya Awamu ya tatu ya NMB Bonge la mpango kanda ya kusini iliyofanyika Juni 7,2023 mjini Mbinga, Katika kampeni hiyo zaidi ya shilingi milioni 260 zitatolewa kama zawadi kwa washindi zaidi ya 100
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.