MKUU wa wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme anawaongoza wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kutekeleza maelekezo ya Wizara ya Afya kuhakikisha wakati wa kusalimiana hakuna kushikana mikono ili kukabiliana na virusi hatari vya Corona ambavyo hadi sasa vimeua watu zaidi ya 3000 duniani.Hata hivyo virusi hivyo bado havijaingia nchini.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=hsiHDmXW_0M
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.