Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho akiongozana na kamati hiyo ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma kutembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambapo serikali imetoa shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi huo kwani hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 65 ya utekelezwaji. Ziara hiyo imefanyika hivi karibuni
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.