Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameendelea kutekeleza maagizo ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha mahusiano na nchi jirani ya Msumbiji ambapo ameweza kukutana na maafisa uhamiaji wa eneo la Kongresso Jimbo la Niassa Msumbiji na kuzungumza masuala ya kuimarisha ujirani mwema na Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.