Tanzania inatarajia kutangaza Kanuni mpya za uongezaji wa virutubishi kwenye vyakula Aprili 3, 2025 Wilayani Songea Mkoani Ruvuma.
Tukio hili muhimu linatarajiwa kuongozwa na Mheshimiwa Jenista Mhagama (MB), Waziri wa Afya, na Mheshimiwa Selemani Jafo (MB), Waziri wa Viwanda na Biashara.
Haya ni miongoni mwa mafanikio makubwa katika kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Septemba, 2022 alipokuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mkataba ya lishe na Wakuu wa Mikoa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.