Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Ruhila Seko Manispaa ya Songea waliotoa maeneo yao kwa ajili ya kazi ya uhifadhi wa chanzo cha maji Ruhila wakisubiri kukabidhiwa hundi zao na Waziri wa maji Jumaa Aweso.
Mmoja wa wakazi wa mtaa wa Ruhila Seko Manispaa ya Songea Hassan Mbunda kulia, kwa niaba ya wenzake akipokea mfano wa hundi ya Sh.milioni 925 kutoka kwa Waziri wa maji Jumaa Aweso wa pili kulia zilizotolewa kama fidia na Serikali kwa wananchi waliotoa maeneo yao ili kupisha uhifadhi wa chanzo cha maji katika bonde la Ruhila kata ya Seedfarm manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kushoto Katibu Mkuu wa wizara ya maji Mwajuma Waziri na wa pili kushoto Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.