Muonekano wa hospitali ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambapo serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 4.8 kutekeleza mradi huu ambao umeanza kutoa huduma kwa wananchi wa Nyasa na nchi jirani ya Msumbiji.
Hongera Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya kwa kufuatilia na kusimamia mradi huu ambao umemaliza kero ya wananchi kusafiri umbali mrefu kwenda Mbinga na Songea kufuata matibabu na huduma za afya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.