Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban akiagana na Chifu Nkosi Imanuel Zulu Gama, katikati Mwenyekiti CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Odo Mwisho, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Songea Mhe, Aziza Mangosongo (kulia), mara baada ya kuzindua kumbukizi ya miaka 117 ya Mashujaa wa vita ya Majimaji ambapo uzinduzi huo unafanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.