Miongoni mwa wadau wa uchaguzi Zaidi ya 150 kutoka katika Wilaya zote wakiwa katika mafunzo ya maelekezo muhimu kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 kilichofanyika kwenye ya ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
Uchaguzi wa Serikali za mitaa unatarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.