Katika kukabiliana na mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma kuwamata na kuwafikisha mahakamani madereva na makondakta wa magari yote ya abiria yatakayosimamisha abiria.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=sciIhXfiyY0&t=17s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.