Baraza la madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma limefanya kikao maalum cha kupitisha bajeti ya shilingi bilioni 28.1 ya mwaka wa fedha 2021/2022.Kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Menas Komba kimefanyika Lundusi Peramiho.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=yrbi7tGqtOQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.