Pori la Akiba la Liparamba lipo katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Afisa Utalii wa Pori hilo Maajabu Mbogo amesema moja ya vivutio vinavyovutia watalii wengi katika pori hilo kitendo cha maji kutengeneza ramani ya Afrika juu ya mwamba wa mawe.
Miss utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fidea Hilary akiwa ndani ya pori la Akiba Liparamba ambapo ameshuhudia vivutio lukuki vya utalii
Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma Albano Midelo akiwa ndani ya pori la Akiba Liparamba
Ili kupata habari kwa kina kuhusu pori la Liparamba Tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=5lPAa5DR-a4
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.