Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameipongeza Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa kupata Hati safi ikiwa ni matokeo ya Ukaguzi ambao ulifanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2023.
Kanalı Abbas ametoa pongezi hizo katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Madenge katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.