WAGENI kutoka sekondari ya Mwanakwereke C Zanzibar wakiwa kwenye geti la kuingia kilele cha Mlima Matogoro wakati walipofanya ziara ya kutembelea na kuupanda Mlima wa Matogoro hivi karibuni miongoni mwa sehemu iliyowafurahisha zaidi katika Mlima matogoro walipofika juu wa kilele na kuona mawingu ya kipita kwenye kilele cha Mlima Mtogoro
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.