Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyasa Eng. Stela Manyanya kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa katika Viwanja vya Mbambabay Wilaya Nyasa Mkoani Ruvuma Septemba 17,2020.
Wanachama wa CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli na Mbambabay Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Septemba 17,2020.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.