Kaimu Meneja wa wa MBIFACU Henrick Ndimbo amesema upanuzi wa shamba la kahawa Ugano umelenga kuimarisha vitega uchumi wa MBIFACU na kuongeza mapato ya chama hicho ili kuweze kujitegemea na kuimarisha ushirika.
Ndimbo amesema katika msimu huu MBIFACU imepanda miche ya kisasa ya kahawa ipatayo 23,275 na kwamba mwaka 2023 MBIFACU inatarajia kuzalisha kahawa tani zaidi ya 23,000 ambazo zitawaingizia sh.milioni 69 ambazo zitaongeza mapato ya ndani ya chama.SOMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=-IO5CIKFscI&t=46s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.