HIFADHI ya Taifa ya Nyerere inapita katika wilaya mbili za Mkoa wa Ruvuma ambazo ni Wilaya ya Namtumbo na Tunduru.Kuanzishwa kwa hifadhi hiyo ya Taifa sasa kutatoa fursa za uwekezaji katika sekta ya utalii mkoani Ruvuma hali ambayo itaongeza mapato yanayotokana na sekta ya utalii hivyo kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa lkwa ujumla .SOMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=ShZMhIXapRs
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.