MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameanza ziara ya kukagua miradi ya UVIKO 19 katika Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma ambapo kwa kuanzia ameanzia ukaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Songea,pamoja na mambo mengine RC Ibuge ameridhishwa na usimamizi mzuri wa ujenzi wa madarasa 26 ya shule za msingi na sekondari ambayo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 660 kutekeleza mradi huo sanjari na ujenzi wa vituo vya afya vya Msamala na Lilambo .
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=-ML9A94-eeg
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.