MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameshirikiana na wananchi wa kijiji cha Mtakanini Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo katika ujenzi wa kituo cha Afya cha kijiji hicho.Serikali ya Awamu ya Tano ikiongozwa na Rais Dkt.John Magufuli imetoa kiasi cha shilingi milioni 400 ili kutekeleza mradi huo na kusogeza huduma ya afya jirani kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.