Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua kumbikizi ya mashujaa wa Vita ya Majimaji wapatao 67 waliouawa kwa kunyongwa na wajerumani Februari 27,1906 na kuzikwa katika makaburi mawili ndani ya makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.