Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewashukuru waandishi wa habari wa mkoa wa Ruvuma, kupitia vyombo vyao vya habari kwa kuhabarisha umma wa watanzania kuhusu ziara ya Mheshimiwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilianza mkoani Ruvuma kuanzia Septemba 23 hadi 29,2024.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.