Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed Agosti 20,2024 anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Tunduru.
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Simon Chacha amethibitisha kuwepo kwa ziara hiyo ambapo amesema Kanali Abbas akiwa wilayani Tunduru atafanya mkutano wa hadhara na kusikiliza kero mbalimbali za wananchi wa Tunduru katika maeneo ya viwanja vya Baraz la Eid kuanzia saa saba mchana.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.