Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametembelea na kuwafariji watu 355 waliopata maafa katika kata za Linga na Ruhuhu wilaya ya Nyasa baada kufurika mto Ruhuhu na kusababisha hasara ya milioni 180.Mndeme ameahidi serikali kutoa mbegu ya mahindi yanayokomaa upesi ili wananchi hao waweze kulima na kuvuna.TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=rDqkuloyaoI&t=3s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.