MRADI WA UJENZI WA KITUO CHA AFYA LILAMBO SONGEA
SERIKALI kupitia fedha za mapato ya ndani inatekeleza mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Lilambo Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo zaidi ya shilingi milioni 500 zinatekeleza mradi huu.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Songea kuhakikisha mradi huo ulianza mwaka jana unakamilika na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.