Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimtua ndoo kichwani Mwananchi wa Kijiji cha Matiri baada ya Serikali kuwatatulia changamoto ya kufuata maji umbali mrefu kwa kuwajengea mradi wa maji safi na salama wenye thamani ya shilingi bilioni 1.6 ambao utahudumia zaidi ya wakazi 9870
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.