Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023 Ndugu Abdalah Shaib Kaim amekubali kuweka jiwe la msingi katika mradi wa maji kijiji cha Muhuwesi Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 175.
Mradi huo unaotekelezwa na RUWASA ukikamilika utaongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wapatao 7494.Mradi ulianza kujengwa Mei 26,2022 na unatarajia kukamilika Aprili 30,2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.